Mgombea
wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi
mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Bukoba kwa ajili ya
kuendelea na Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Kagera tarehe
15 Oktoba, 2025.

Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akifurahia burudani wakati
alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Bukoba kwa ajili ya kuendelea na Kampeni
za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Kagera tarehe 15 Oktoba, 2025.

0 Maoni