Rais Samia amvalisha kofia kada wa ACT aliyejiunga na CCM

 

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akimvalisha kofia Mwanachama mpya wa CCM Ndugu Said Bakema Rashid ambaye hapo awali alikuwa Kiongozi na Mratibu wa Chama cha ACT Wazalendo kwa mikoa mitano ikiwemo Kigoma. 

Ndugu Said Bakema Rashid aliamua kujiunga na CCM katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa Katosho mkoani Kigoma tarehe 14 Septemba, 2025.



Chapisha Maoni

0 Maoni