Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kasulu katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Kigoma tarehe 13 Septemba, 2025.

Sehemu ya Wananchi wa Kazuramimba waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, eneo la Uvinza mkoani Kigoma tarehe 13 Septemba, 2025.

0 Maoni