Mwenyekiti Mstaafu wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ni miongoni mwa wageni
wanaoshiriki hafla ya uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo Julai 17,
2025.
Uzinduzi huo unafanyika
katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete (JKCC) jijini Dodoma, ambapo mgeni
rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
0 Maoni