Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Ukumbi wa
Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention center (JKCC) Mkoani Dodoma tayari kwa
Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo Julai 17,2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention center (JKCC) Mkoani Dodoma tayari kwa Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo Julai 17,2025.
Viongozi na wageni
mbalimbali walioalikwa kuhudhuria Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050,
inayozinduliwa leo Julai 17,2025 na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika
Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention center (JKCC) Mkoani Dodoma.

Wageni

0 Maoni