CCM yatumia QR CODE kudhibiti taarifa za upotoshaji

 

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeutaarifu umma wa Watanzania wote kuwa kinatumia nembo maalum (QR Code) kuweza kuhakiki na kuitambua taarifa rasmi inayotolewa na chama hicho, ili kudhibiti uzushi unaotolewa na watu wenye malengo ovu ya kupotosha na kuzua tafrani.



Chapisha Maoni

0 Maoni