Madaktari Bingwa wa
Uturuki wakishirikiana na Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Benjamin Mkapa
wameanza kufanya kambi maalum ya kutoa huduma za uchunguzi wa matibabu katika
magonjwa ya uzazi, ugumba na magonjwa ya macho katika Hospitali ya Benjamin
Mkapa.
0 Maoni