Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akihutubia viongozi mbalimbali,
wafugaji pamoja na wananchi waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya
Chanjo na Utambuzi wa Mifugo katika viwanja vya Nanenane Bariadi Mkoani Simiyu
tarehe 16 Juni, 2025.

Shamrashamra za
uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo na Utambuzi wa Mifugo katika viwanja
vya Nanenane Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.

0 Maoni