Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji pamba cha MOLI Oil Mills Co. Ltd kilichopo Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkurugenzi wa
Kiwanda cha MOLI Oil Mills Co. Ltd Milembe Gugu Silanga kuhusu utengenezaji wa
mabomba ya maji na uchakataji wa pamba kabla ya ufunguzi wa kiwanda hicho
Bariadi mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akifungua Jengo la Ofisi ya
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Simiyu lililopo Bariadi tarehe 16
Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akizungumza mara baada ya kufungua
Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo tarehe 16
Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akiwa kwenye picha ya pamoja na
wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo
tarehe 16 Juni, 2025.





0 Maoni