Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Gorge Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania.
Taarifa iliyotolewa
leo 13/06/1015 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka imesema Jaji
Masaju anachukua nafasi ya Mhe. Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu.
0 Maoni