Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezungumza kwa njia ya mtandao na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Kimataifa wa kusaidia Mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) Bw. Peter Sands kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya Mfuko huo na Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Mei, 2025.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezungumza
kwa njia ya mtandao na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Kimataifa wa kusaidia
Mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) Bw.
Peter Sands kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya Mfuko huo na
Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Mei, 2025.
0 Maoni