Mwandishi
wa Habari nguli Dennis Msacky aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Uhuru Media
Group-UMG, akikabidhiwa vitendea kazi na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa UMG
Shaban Kissu, leo katika ofisi za UMG.
Msacky
anachukua nafasi ya Kisu ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuwa na Rais Samia
Suluhu Hassan kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu.
0 Maoni