Bodi ya wadhamini ya TANAPA yakutana Mwanza

 

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), CPA(T), Hadija Ramadhani ameongoza Kikao cha Kamati ya Ukaguzi na Utawala leo Mei 23, 2025.

Katika kikao hicho kilichohudhuriwa pia na Kamishna wa Uhifadhi TANAPA, Musa Nassoro Kuji kimejadili masuala mbalimbali ya ukaguzi na utawala.

Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) inaendelea na kikao chake cha kawaida cha 210 jijini, Mwanza.

.

Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Musa Nassoro Kuji akifuatilia kwa umakini kikao hicho.



Chapisha Maoni

0 Maoni