Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto
Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati
alipowasili katika Ibada ya kumsimika na kumuweka wakfu Askofu wa Jimbo la
Iringa, Mhashamu Romanus Mihali iliyofanyika katika Viwanja vya Kichangani,
Mjini Iringa, Aprili 27, 2025.
Dkt. Biteko anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sherehe za kuwekwa wakfu Askofu Mteule, Romanus Elamu Mihali kuwa Askofu wa Jimbo la Kitume la Iringa.
0 Maoni