Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama parachichi alipotembelea Kiwanda cha Kuchakata zao la Parachichi AvoAfrica Tanzania Limited kiichopo Makambako Mkoani Njombe, Machi 23, 2025. Kulia kwake ni Meneja Mkuu wa kiwanda hicho, Nagib Kamal. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Nagib Kamal ambaye ni Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Kuchakata Parachichi cha AvoAfrica Tanzania Limited kilichopo Makamabako Mkoa wa Njombe kuhusu makasha yenye parachichi yanayosubiri kusafirishwa nje ya nchi, Machi 23, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mkuu wa kiwanda cha kuchakata Parachichi cha AvoAfrica Tanzania Liited, Nagib Kamal (kulia) kuhusu uchakataji wa Parachichi, Machi 23, 2025. Wa pili kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Pindi Chana na kushoto ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exhaud Kigahe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Nagib Kamal, Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Kusindika Mafuta ya Parachichi cha AvoAfrica Tanzania Limited killichopo wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe, Machi 23, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wafanyakazi wa Kiwanda cha Kusindika Mafuta ya Parachichi cha AvoAfrica Tanzania Limited alipotembelea kiwanda hicho kilichopo wilyani Wanging’ombe mkoa wa Njombe Machi 23, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)





0 Maoni