Waziri Mkuu akizungumza na wananchi wa Njombe

 

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa,  akizungumza na wananchi kwenye Mkutano wa hadhara Wilaya ya Makambako Mkoani Njombe leo Machi 23,2025.

Katika ziara hiyo pia walikuwamo Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Hassan Abbasi.





Chapisha Maoni

0 Maoni