"Unawahitaji watu wakati wote, uwe na cheo, usiwe na cheo unahitaji watu, uwe na fedha usiwe na fedha unahitaji watu; kwenye maisha. Mungu ametungenezea mazingira ya kuwategemea wengine, Hata daktari unapougua, unahitaji daktari mwingine wa kukutibu na hata siku ukifa hutajizika utazikwa na wengine unawahitaji watu." @dbiteko @onwm_tanzania

0 Maoni