Rais Samia apata Tuzo ya Kinara wa Maji Afrika

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Kinara wa Maji Afrika (The PANAFRICAN Water, Sanitation and Hygiene Champion Award) kutoka kwa Taasisi ya WaterAid UK ya nchini Uingereza wakati wa hafla ya Kilele cha Wiki ya Maji na Uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji 2002, Toleo la 2025 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City tarehe 22 Machi 2025, Dar es Salaam.



Chapisha Maoni

0 Maoni