Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akizindua Sera ya Taifa ya Maji 2002, Toleo la 2025 katika Ukumbi
wa Mlimani City tarehe 22 Machi 2025, Dar es Salaam.
Katika hafla hiyo Rais Dkt. Samia pia ameonyeshwa vifaa mbali mbali vinavyotumika katika utafutaji wa vyanzo na uchimbaji wa visima vya maji.







0 Maoni