Rais Samia afuturisha viongozi Skuli ya Utaani wilayani Wete

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Viongozi wa Siasa, Serikali, dini na makundi maalum kwenye futari aliyowaandalia katika Skuli ya Utaani, Wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini Pemba, Zanzibar jana tarehe 25 Machi, 2025.







Chapisha Maoni

0 Maoni