Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kuwapangia vituo mabalozi. Katika uteuzi huo aliyewahi kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Balozi Mobhare Holmes Matinyi amepangiwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Sweden. Pi, Rais Samia ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Masasi Bw. Lauteri John Kanoni na nafasi yake kuchukuliwa na Bi. Rachel Stephen Kasanda. Taarifa kamili ya Ikulu hii hapa chini:-


0 Maoni