Waziri Mkuu azindua lango la utalii la Ndea Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Ujenzi wa Lango la Utalii Ndea lililopo katika Hifadhi ya Taifa Mkomazi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro Machi 25, 2025. Wengine kutoka kushoto ni Kamishina Mkuu wa TANAPA , Juma Kuji, Katibu wa CCM Mkoa Kilimanjaro, Mercy Mollel, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin  Babu, Mbunge wa Mwanga Joseph  Tadayo na   kulia ni Mkuu wa wilaya ya Mwanga, Mwanahamisi Munkunda.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe alipozindua Ujenzi wa Lango la Utalii Ndea lililopo kwenye Hifadhi ya Taifa Mkomazi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro Machi 25, 2025. Wengine kutoka kushoto ni Kamishina Mkuu wa TANAPA , Juma Kuji, Katibu wa CCM Mkoa Kilimanjaro, Mercy Mollel, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu na kulia ni Mbunge wa Mwanga Wakili Thadayo Anania . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mkoamazi, Emmanuel Mwailama alipozindua Ujenzi wa Lango la Utalii Ndea  katika Hifadhi ya Taifa  Mkomazi Mkoani Kilimajaro, Machi 25, 2025. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wananchi wakati alipozindua Ujenzi wa Lango la Utalii Ndea kwenye Hifadhi ya Taifa Mkoamazi wilayani Mwanga, Machi 25, 2025.  Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu,  wa pili kulia ni Mbunge wa Mwanga, Joseph Tadayo na wa pili kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro Mercy Mollel. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).



Chapisha Maoni

0 Maoni