Benki Kuu ya Tanzania (BOT) leo tarehe 24/03/2025 imetoa bei za kubadilishia fedha za kigeni ambapo dola moja ya Marekani inanunuliwa kwa shilingi 2,618.8 na kuuzwa kwa shilingi 2,645, huku paundi ya Uingereza ikinunuliwa shilingi 3,384.2 na kuuzwa kwa shilingi 3,419.1. Fedha zingine ni kama zinavyoonekana kwenye chati.
0 Maoni