Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
mazungumzo na Rais wa Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo kabla ya kuanza kwa
Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)
uliofanyika kwenye ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja huo
Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 15 Februari, 2025.

0 Maoni