Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki
Mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AUPSC) pamoja na
viongozi kutoka nchi mbalimbali katika Makao Makuu wa Umoja wa Afrika (AU)
Addis Ababa nchini Ethiopia jana tarehe 14 Februari, 2025.

0 Maoni