Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, akimpongeza Makamu
wake bara, Tundu Lissu baada ya hotuba aliyoitoa wakati wa mkutano mkuu wa
chama hicho unaofanyika leo katika ukumbi wa Mlimani City, Jijini Dar es
Salaam.
Mbowe, Lissu na Charles Odero wanagombea nafasi ya
uenyekiti wa Chadema katika uchaguzi unaofanyika leo.
Zoezi la uchaguzi huo linaanza hivi bunde baada ya
wajumbe kuridhia hoja kadhaa za Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.
0 Maoni