TRC yaongeza treni moja mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

 

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza kuongeza treni moja ya abiria kwa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kutokana na ongezeko la abiria wanaotaka kusafiri na treni kuelekea mikoa hiyo katika msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka.



Chapisha Maoni

0 Maoni