Mhe. Ridhiwani ashiriki kikao muhimu cha kutomomeza umasikini

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete leo ameshiriki kikao na wadau wa maendeleo kutekelezaji wa Awamu ya Tatu ya Mradi wa kuondoa umaskini kilichoongozwa na Wizara ya Fedha, Benki ya Dunia, na Nchi marafiki wa maendeleo. 

Kikao hicho kimeazimia kuendelea kufanikisha hatua hii kubwa na serikali kuendelea kusimamia mradi wa kuondoa umasikini nchini. Utayari wa Serikali ya Awamu ya Sita katika hili utasaini sana kundelea kupambana na hali za umaskini na ukombozi wa wananchi kiuchumi pamoja.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwa na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba wakishiriki kikao na wadau wa maendeleo kutekelezaji wa Awamu ya Tatu ya Mradi wa kuondoa umaskini kilichoongozwa na Wizara ya Fedha, Benki ya Dunia, na Nchi marafiki wa maendeleo.




Chapisha Maoni

0 Maoni