Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu hatua mbalimbali za upokeaji na uuzaji wa madini ya dhahabu katika Soko Kuu la Dhahabu Geita mara baada ya kuwasili Mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda mbalimbali wakati wa
Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye sekta ya madini yaliofanyika
Mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia mfano wa uchimbaji wa madini ya
dhahabu wakati wa Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye sekta ya
madini yaliofanyika Mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024.
0 Maoni