Rais Samia akabidhi Mwenge na Bendera ya Taifa kwa Jeshi

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Bendera ya Taifa na Mwenge wa Uhuru wa mwaka 2024 kwa Mkuu wa Majeshi Jenerali Jacob Mkunda kwaajili ya kuupandisha kwenye kilele Cha mlima Kilimanjaro wakati wa Kilele Cha mbio za Mwenge huo Mkoani Mwanza jana October 14,2024.



Chapisha Maoni

0 Maoni