Je, ukisikia harufu ya wali ama viazi kichakani ni nyoka ?

 

Unatembea kwenye kichaka kisha ghafla unakutana na harufu nzuri ya viazi ama wali uliopikwa.

Mara unakumbuka wazee walikuambia unapokutana na harufu hizo msituni ni nyoka na upo hatarini. Unaamua kutimua mbio kuokoa maisha yako.

Ukweli ni kuwa hukimbii nyoka, bali ni kwamba unaukimbia mmea huo hapo juu pichani ambao ndio wenye kutoa harufu hizo. Mmea huu kwa lugha ya Kingereza ni potato bush.

Chapisha Maoni

0 Maoni