Ziara ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Ruangwa

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Namilema, ilichojengwa kwa nguvu za wananchi, akia kwenye ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi. 15, Novemba 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Namilema, akia kwenye ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi. 15, Novemba 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na na mwananchi wa kijiji cha Namilema, Babuu Abdallah Pamui, akia kwenye ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi. 15, Novemba 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Namilema, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati alipoongea nao, akia kwenye ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi. 15, Novemba 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni