Zara wazidua kampeni ya Twenzetu Kileleni

 

Kampuni ya Utalii nchini Tanzania Zara Tanzania Adventures (ZARA TOURS) imefanya uzinduzi rasmi wa kampeni ya Twenzetu Kileleni msimu wa 4 mwaka 2024, ambapo mgeni rasmi katika uzinduzi huo ni Mwanahabari nguli Bw. Salim Kikeke kampeni hiyo imezinduliwa tarehe leo 18, Okt 2024 katika ofisi za SpringsLand Hotel Moshi Mkoani Kilimanjaro.

Mgeni rasmi katika kampeni ya Twenzetu Kileleni Mwanahabari nguli Bw. Salim Kikeke wa kati, akiwa ameshika fulana ya Twenzetu Kileleni, yenye ujumbe maalum usemamo ‘Uhuru wetu, Mlima Wetu’.



Chapisha Maoni

0 Maoni