Kikosi cha Tume ya Madini chajifua kujiandaa na SHIMUTA

 

Kikosi cha Timu ya Tume ya Madini kikijifua katika uwanja wa Gereza la Isanga, kikijiandaa na mashindano ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi (SHIMUTA) itakayoanza kutimua vumbi Novemba 5, 2024 jijini Tanga.

Angalia mwenyewe mzuka wa mazoezi ya Kikosi cha Timu ya Tume ya Madini hapa chini:-




Chapisha Maoni

0 Maoni