Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunuku Kamisheni
kwa Maafisa wanafunzi Kundi la 04/20-shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la
70/22 (Regular) kwa Cheo cha Luteni Usu katika sherehe zilizofanyika kwenye
Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (Tanzania Millitary Academy - TMA) Mkoani
Arusha tarehe 18 Novemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la
Heshima kabla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wanafunzi wa Kundi la
04/20-Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 70/22 (Regular) kwa Cheo cha
Luteni Usu katika sherehe zilizofanyika kwenye Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi
Monduli (Tanzania Millitary Academy - TMA) Mkoani Arusha tarehe 18 Novemba 2023.
Maafisa wanafunzi Kundi la
04/20-Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 70/22 Refu (Regular)
wakivalishana Vyeo mara baada ya kutunukiwa Kamisheni na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan katika
sherehe zilizofanyika kwenye Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (Tanzania
Millitary Academy - TMA) Mkoani Arusha tarehe 18 Novemba 2023.
Gwaride la Heshima likipita
kwa mwendo wa haraka mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri
Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan kabla ya kutunukiwa Kamisheni kwa Maafisa
wanafunzi Kundi la 04/20-Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 70/22
(Regular) kwa Cheo cha Luteni Usu katika sherehe zilizofanyika kwenye Chuo cha
Mafunzo ya Kijeshi Monduli (Tanzania Millitary Academy - TMA) Mkoani
Arusha tarehe 18 Novemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapa zawadi
Wanafunzi waliofanya vizuri katika mafunzo kabla ya Kuwatunuku Kamisheni kwenye
Sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli Mkoani
Arusha.
0 Maoni