Rais Samia ashiriki Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika unaofanyika Jijini Riyadh tarehe 10 Novemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Abiy Ahmed, kando ya Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika unaofanyika Jijini Riyadh tarehe 10 Novemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Bw. Sultan Abdulrahman Al-Marshad kushoto pamoja na Balozi wa Saudia Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya Ahmed Okesh Jijini Riyadh nchini Saudi Arabia tarehe 10 Novemba, 2023.

Chapisha Maoni

0 Maoni