Kikao cha Jukwaa la Uwakili la Viongozi wa Dini

Mkurugenzi wa Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Juma Mohamed Salum akimwakilisha Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja katika Jukwaa la Uwakili la Viongozi wa Dini (Interfaith Uwakili Forum) kujadili kwa kina changamoto mbalimbali za mazingira, lililofanyika mjini Bukoba, mkoani Kagera hivi karibuni.

Wajumbe wa Jukwaa la Uwakili la Viongozi wa Dini (Interfaith Uwakili Forum) wakiwa kwenye kikao cha kujadili kwa kina changamoto mbalimbali za mazingira, kilichofanyika mjini Bukoba, mkoani Kagera hivi karibuni.

Baadhi ya Wajumbe wa Jukwaa la Uwakili la Viongozi wa Dini (Interfaith Uwakili Forum) waliokutana kujadili kwa kina changamoto mbalimbali za mazingira, lililofanyika mjini Bukoba, mkoani Kagera hivi karibuni.

Baadhi ya Wajumbe wa Jukwaa la Uwakili la Viongozi wa Dini (Interfaith Uwakili Forum) wakifurahia mandhari walipokutana kujadili kwa kina changamoto mbalimbali za mazingira, lililofanyika mjini Bukoba, mkoani Kagera hivi karibuni.

Chapisha Maoni

0 Maoni