Msemaji wa Simba na wa Yanga watinga Bungeni leo

 

Msemaji wa Simba, Ahmed Ally, Msemaji wa Yanga, Ally Kamwe wamefika Bungeni Dodoma leo, kwa mwaliko wa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kushuhudia shughuli za Bunge. Leo Muswada wa Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi utawasilishwa bungeni.

Msemaji wa Simba, Ahmed Ally, Msemaji wa Yanga, Ally Kamwe wakiteta jambo wakiwa Bungeni Dodoma leo, wakiwa wageni waalikwa. Leo Muswada wa Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi utawasilishwa bungeni.

Msemaji wa Simba, Ahmed Ally, Msemaji wa Yanga, Ally Kamwe wakifuatilia kinachoendelea Bungeni Dodoma leo, wakiwa wageni waalikwa. Leo Muswada wa Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi utawasilishwa bungeni.

Chapisha Maoni

0 Maoni