Mama Mariam Mwinyi akutana na Malkia Camilla wa Uingereza

 

Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi amekutana na Malkia Camilla Rosemary Shand Mke wa Mfalme Charles III wa Uingereza katika mkutano wa Viongozi Wanawake ulioandaliwa na Jumuiya ya Madola ukumbi wa Marlborough House, London Uingereza tarehe 15 Novemba 2023.

Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiongea na Malkia Camilla Rosemary Shand Mke wa Mfalme Charles III wa Uingereza katika mkutano wa Viongozi Wanawake ulioandaliwa na Jumuiya ya Madola ukumbi wa Marlborough House, London Uingereza tarehe 15 Novemba 2023.

Chapisha Maoni

0 Maoni