Rais Samia ashiriki mkutano wa Wakuu wa EAC Jijini Nairobi

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano Maalum wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya.

Viongozi Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakiwa wamesimama wakati wa mkutano wao uliofanyika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alishiriki mkutano huo.

Chapisha Maoni

0 Maoni