Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula 2023 waanza Dar

 

Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea wakati wa ufunguzi wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula 2023 (Africa Food Systems Forum 2023) uliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) leo Septemba 5, 2023. 

Makamu wa Rais Mhe. Dk. Philip Mpango akizindua ripoti ya hali ya kilimo Barani Afrika ya Mwaka 2023, wakati wa ufunguzi wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula 2023 (Africa Food Systems Forum 2023) uliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) leo Septemba 5, 2023. 

Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda akifuatilia jambo wakati wa ufunguzi wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula 2023 (Africa Food Systems Forum 2023) uliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) leo Septemba 5, 2023. 

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akizungumza wakati wa ufunguzi wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula 2023 (Africa Food Systems Forum 2023) uliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) leo Septemba 5, 2023 

Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipiga makofi wakati wa ufunguzi wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula 2023 (Africa Food Systems Forum 2023) uliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) leo Septemba 5, 2023.

Chapisha Maoni

0 Maoni