Mgombea wa
nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Ikwiriri katika muendelezo wa Kampeni
za Uchaguzi kwa CCM, Rufiji mkoani Pwani tarehe 20 Oktoba, 2025.
Sehemu ya
Wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rufiji mkoani Pwani tarehe
20 Oktoba, 2025.
Shamrashamra
wakati Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan
akiwasili katika uwanja wa mkutano wa Kampeni za Uchaguzi za CCM, Ikwiriri,
Rufiji mkoani Pwani tarehe 20 Oktoba, 2025.

0 Maoni