Mgombea
wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa
Sumbawanga mjini katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Rukwa
tarehe 19 Oktoba, 2025.
Sehemu ya
Wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, mkoani Rukwa, tarehe
19 Oktoba, 2025.
Shamra
shamra za mapokezi ya Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia
Suluhu mara baada ya kuwasili katika uwanja wa mkutano wa Kampeni Sumbawanga
mjini mkoani Rukwa tarehe 19 Oktoba, 2025.

0 Maoni