Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi
mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha National
League forDemocracy (NLD) Mhe. Doyo Hassan Doyo. Mgombea huyo wa NLD aliyeambatana
na Mgombea Mwenza, Mhe. Chausiku Khatib Mohamed (kushoto)nalichukua fomu hizo
leo Agosti 10,2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu.
Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na
INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya
Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa
Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kupitia tiketi ya Chama cha United People's Democratic Party (UPDP), Mhe.
Twalib Ibrahim Kadege. Mgombea huyo wa UPDP aliambatana na Mgombea Mwenza,
Mhe.Abdalla Mohd Khamisi (kushoto) alichukua fomu hizo leo
Agosti 10, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu.
Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima.
0 Maoni