Mtia nia nafasi ya ubunge wa Jimbo
la Bukombe, Dkt. Doto Mashaka Biteko ashiriki kupiga kura za maoni kwa nafasi
ya Ubunge na Udiwani katika kata ya Bulangwa ambapo Msimamizi wa Uchaguzi ni
Ndugu. Paskasi Mlagiri Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya Wilaya
ya Bukombe, Agosti 4, 2025, Mkoani Geita.
Mtia nia nafasi ya ubunge
wa Jimbo la Bukombe, Dkt. Doto Mashaka Biteko akipiga kura ya maoni ya
kumchagua Diwani wa Kata ya Bulangwa, Wilaya ya Bukombe, Mkoani Geita (Julai 4,
2025).
Dkt. Doto Mashaka Biteko
Agosti 4, 2025 akiwa ukumbini pamoja na wajumbe wengine wa mkutano mkuu wa kata
ya Bulangwa wakisikiliza maelekezo kutoka Msimamizi wa Uchaguzi ambaye ni
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya Wilaya, Ndugu. Paskasi Mlagiri
kuelekea kupiga kura za maoni katika nafasi ya Udiwani na Ubunge Jimbo la
Bukonbe, Mkoani Geita.

Wajumbe wa mkutano mkuu wa kata ya Bulangwa wakisikiliza maelekezo kutoka Msimamizi wa Uchaguzi ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya Wilaya, Ndugu. Paskasi Mlagiri kuelekea kupiga kura za maoni katika nafasi ya Udiwani na Ubunge Jimbo la Bukonbe, Mkoani Geita.
0 Maoni