Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya
Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa
Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Yustas Mbatina
Rwamugira . Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Amana Suleiman
Mzee (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 11, 2025 ambapo Tume inataraji
kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu.
Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Yustas Mbatina
Rwamugira akisaini fomu.
Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Yustas Mbatina
Rwamugira na Mgombea Mwenza, Mhe. Amana Suleiman Mzee (kushoto) wakionesha
mkoba wa fomu walio kabidhiwa.
0 Maoni