Mgombea Urais wa TADEA achukua fomu INEC

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA), Mhe. Georges Gabriel Bussungu.

Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Ali Makame Issa (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 11, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu.

Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA), Mhe. Georges Gabriel Bussungu na Mgombea Mwenza, Mhe. Ali Makame Issa wakionyesha mkoba wa fomo walizopatiwa na INEC.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhani Kailima akitoa maelezo kwa Mgombea wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA), Mhe. Georges Gabriel Bussungu.

Chapisha Maoni

0 Maoni