Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalum ya
‘Power of 100 Women Award kutoka kwa Uongozi wa Access Bank Group kutoka kwa
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Access Tanzania Ndugu Protase
Ishengoma Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Julai, 2025. Tuzo hii ambayo
hutolewa kila baada ya miaka mitano inalenga kutambua na kusherehekea wanawake
wa Kiafrika wanaotoa michango ya mageuzi kwa mataifa na jamii zao, kuhamasisha
na kuhimiza kizazi kijacho cha viongozi Wanawake katika bara zima la Afrika.
Pia kupaza sauti za Wanawake katika kuleta maendeleo endelevu ya Kiuchumi na
kijamii barani Afrika.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Tuzo Maalum ya
‘Power of 100 Women Award mara baada ya kukabidhiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam
08 Julai, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Access Tanzania Ndugu Protase
Ishengoma pamoja na ujumbe aliombatana nao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08
Julai, 2025.

0 Maoni