Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa akijibu maswali ya papo kwa papo ya wabunge wakati wa kipindi cha
maswali kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma Juni 5.2025. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hamza Johari , Bungeni jijini Dodoma Juni 5.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Manonga, Seif Gulamali, Bungeni jijini
Dodoma Juni 5.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa akifurahia jambo na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Ummy
Nderiananga, Bungeni jijini Dodoma Juni 5.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 Maoni