Maswi afungua Mafunzo ya Mawakili wa Serikali

 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, ndugu Eliakim Maswi akizungumza na Mawakili wa Serikali wakati akifunga Mafunzo kwa Mawakili hao yaliyofanyika Jijini Arusha tarehe 2-4 Juni, 2025.

Mawakili wa Serikali kutoka Wizara, Taasisi za Serikali na Halmashauri za Wilaya na Mikoa wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, ndugu Eliakim Maswi (hayupo pichani) wakati akifunga Mafunzo kwa Mawakili hao yaliyofanyika Jijini Arusha tarehe 4 Juni, 2025.

Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akizungumza na Mawakili wa Serikali wakati wa kufunga Mafunzo kwa Mawakili yaliyofanyika Jijini Arusha tarehe 2-4 Juni 2025.

Jaji wa Mahakama ya Rufani, Mhe. Prof. Ubena Agatho akitoa mada kuhusu matumizi ya akili mnemba wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yaliyofanyika Jijini tarehe 2-4 Juni, 2025 Arusha.


Chapisha Maoni

0 Maoni